UKIMYA WA SIMBA…WAMUIBUA AHMED ALLY…ASEMA JAMBO
HUENDA hata wewe umekuwa ukipita kwenye akaunti mbalimbali za klabu ya Simba kujaribu kuchungula taarifa mpya, lakini huoni chochote! ukimya huo umemfanya Afisa Habari wa…
HUENDA hata wewe umekuwa ukipita kwenye akaunti mbalimbali za klabu ya Simba kujaribu kuchungula taarifa mpya, lakini huoni chochote! ukimya huo umemfanya Afisa Habari wa…
HUENDA SIMBA NA YANGA zikikakutana zaidi ya mara 3 kwa msimu ujao wa mashindano, 2023/24, lakini kwa kufuata Kanuni za Ligi timu tutashuhudia Dabi ya…
HABARI ZA SIMBA LEO, Uongozi wa klabu hiyo imesikitishwa na kupoteza maombe muhimu msimu huuu, na kushindwa kufikia malengo waliyojiwekea kwa msimu wa 2023/24 Simba…
IFAHAMIKE kwamba Simba na Yanga wote walikuwa wanaitaka huduma ya Yusuph Kagoma kutoka Singida, ila inaelezwa walioenda mbele ni Yanga kwa kuwasiliana na Mchezaji pamoja…
INAELEZWA kwamba Mnyama Simba yupo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa Mshambuliaji Steven Dese Mukwala kutoka Asante Kotoko ya Ghana, ambaye amecheza kwa mafanikio…
KOCHA MKUU wa Yanga Miguel Gamondi amesema kwamba baada ya msimu kumalizika akiwa na mafanikio makubwa na kalbu hiyo, anahitaji kuondoka Yanga. Gamondi alifunguka kila…
KLABU ya Simba SC imeshakamilisha kandarasi ya beki wa kushoto wa Coastal Union Lameck Lawi, ambaye kila kitu kipo tayari anasubiri tu kutambulishwa. Lameck Lawi…
SAKATA LA CHAMA na Habari za Simba leo, Bado ngoma mbichi ambapo inaelezwa kwamba, kiungo huyo anataka kulipwa mshahara unaozidi wachezaji wote ikiwemo wa Winga…
INAELEZWA kwamba moja ya majina ambayo muda wowote kuanzia sasa, yatapewa mkono wa kwaheri katika klabu ya Simba SC, ni jina la Winga mwenye udambwi…
KLABU ya Simba SC Inafanya mambo yake kimya kimya ambapo kwa sasa imeelekeza jicho lake, kwa Kiungo mkata umeme aliyekuwa anakipiga SC Villa, Jina la…