Latest Posts

HABARI ZA SIMBA NA YANGA

MAREFA WA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA NI HAWA

Marefa kutoka Guinea na Mauritania ndio wamepangwa kuchezesha mechi za nyumbani za wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga katika mechi zao za marudiano za raundi…

Habari za Yanga leo

MWAMNYETO AKUBALI KUHITAJIKA SIMBA

NAHODHA wa Yanga SC Bakari Mwamnyeto amethibitisha kuwa ni kweli klabu ya Simba SC ilimuhitaji kumsajili kwaajili ya kujiunga na kikosi chao katika msimu huu…

HABARI ZA YANGA-DUBE

KIPA CBE BADO ANAMUWAZA DUBE

MASHABIKI wa Yanga bado wanasubiri kuona mabadiliko ya washambuliaji wao kuelekea mechi ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini kipa wa wapinzani…

HABARI ZA YANGA

FEI TOTO ANAMTAKA TENA AZIZ KI…

KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema anatamani bato yake na Stephane Aziz Ki liendelee tena msimu huu kwani inamuongezea ubora kutokana…

habari za yanga-Gamondi

GAMONDI ACHUKIZWA NA KUKOSA MABAO

KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amechukizwa na namna ambavyo wachezaji wake wanavyokosa magoli, licha ya timu yake kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Katika mchezo…