Latest Posts

habari za yanga-gamondi

GAMONDI AAPA KUWAMALIZA CBE NYUMABNI KWAO

LICHA ya kubakia na wachezaji wachache kambini, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameendelea na programu yake kwa ajili ya kujiandaa kuwakabili CBE ya Ethiopia…

Habari za Yanga Princess

YANGA YAONGEZA KIUNGO MWINGINE

YANGA Princess imekamilisha usajili wa kiungo raia wa Nigeria, Adebisi Ameerat kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Hapoel Petach Tikva. Mchezaji huyo ambaye ana uwezo…

Habari za Michezo

HATIMAYE MSUVA AJIPATA ULAYA

MCHEZAJI wa ZamaniΒ  wa Yanga na Wydad Casablanca ya Morocco Simon Msuva anakwenda kuanza maisha mapya Ulaya katika timu iliyopo Jamhuri ya Iraq huko Asia…

habari za simba- Kagoma

SAKATA LA KAGOMA NA YANGA UKWELI NI HUU.

KLABU YA YANGA na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara, wamewasilisha nyaraka mbili muhimu kwenye shauri linaloendelea la kimkataba kati yao na Mchezaji Yusuph Kagoma…

HABARI ZA YANGA-DJUMA SHABAN

DJUMA SHABAN ASEPA ZAKE UFARANSA

BEKI wa zamani wa Yanga, Djuma Shaban anayekipiga Namungo kwa sasa, ametimka nchini kwenda Ufaransa, huku akifunguka kilichofanya aende huko akiwa amepewa muda wa wiki…

HABARI ZA SIMBA-fREDDY

FREDDY ATEMWA USM ALGER…ARUDI YANGA

Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuichezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima uvumi…

Habari za Yanga-Aziz Ki na Mzize

WYDAD YARUDI TENA KWA MZIZE NA BIL 2.1

Klabu ya Wydad Casablanca imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize, imefahamika. Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco…

HABARI ZA SIMBA-KAGOMA

YANGA YAMSAMEHE MCHEZAJI WA SIMBA

USAJILI wa kiungo Yusuph Kagoma ulikuwa na sintofahamu mwanzoni, kabla ya kutambulishwa rasmi na Simba kama mchezaji wao halali. Awali kulikuwa na Taarifa za kwamba…