TP MAZEMBE YAMUOMBA STRAIKA WA YANGA
Rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameiomba klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi wawaazime mshambuliaji wao mpya, Sabinah Tom. Klabu…
Rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameiomba klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi wawaazime mshambuliaji wao mpya, Sabinah Tom. Klabu…
ALIYEWAHI kuwa beki wa Simba SC na Coastal Union Abdi Banda amerejea katika kikosi cha Baroka cha Afrika Kusini alichokitumikia akitokea Richards Bay. Nyota huyo…
BAADA ya juzi kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wao wa kwanza wa kufuzu fainali za Afrika (AFCON) 2025 dhidi ya Ethiopia, wachezaji wa timu ya…
MASHINDANO ya kuwania Ngao ya Jamii kwa Wanawake yamepangwa kufanyika kuanzia Septemba 24 hadi 27, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.…
KOCHA wa Simba, Fadlu Davids kwa siku za karibuni amekuwa akiwapa wachezaji wake mbinu katika mfumo mpya ambao anataka wawe wanapiga mashuti ya nguvu langoni…
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho ukipenda muite Daktari wa Soka, Akiwa live kwenye insta story akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari kutoka Kenya @bedjosessien amefunguka…
Inanikumbusha kauli aliyowahi kuzungumza mlinzi wa kulia wa Klabu ya Yanga SC, Kibwana Shomari baada ya kusajiliwa Attohoula Yao msimu uliopita kuwa kazini kwake kuna…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy,’ ameweka wazi kuwa chini ya kocha Miguel Gamondi, kila mchezaji ndani ya kikosi cha Yanga ana nafasi…
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ali amesema mcheZo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa Jumamosi, Septemba…
BAADA ya Fadlu Davids kuchaguliwa kuwa kocha bora ndani ya Agosti 2024 na Jean Ahoua kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa Agosti, uongozi wa Simba umetoa…