HABARI ZA YANGA
Habari za Yanga Leo

AUCHO AMCHAMBUA ABUYA NA KUMWAGA YA KAMBINI

Abubakar September 6, 2024 12:34 pm

Kiungo wa Yanga Khalid Aucho ukipenda muite Daktari wa Soka, Akiwa live kwenye insta story akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari kutoka Kenya @bedjosessien amefunguka kuhusiana na tofauti ya Mudathiri yahya na Duke Abuya.

“Siwezi kukuambia nani ni bora baina yao ila naweza kuwatofautisha ivv… Kwanza wote ni wazuri sana wakiwa na mpira ila Duke anatumia muda kidogo kuamua afanye nini…! Mudathir ni ‘aggressive’ kuliko Duke Abuya na anapenda kuwania mpira kwa nguvu kuliko mwenzie”

“Wakati Duke Abuya amefika Yanga nilipomuona kwa mara ya kwanza sikujua anacheza nafasi gani… Alikuwa kama anapenda kushambulia zaidi ila ungemuona pembeni kama winga nikamuambia… Kama unataka kucheza mpira tulia kwenye nafasi! Kwenye mpira kama wewe ni beki cheza kama beki na sio kama straika ama vinginevyo.”

KAZINI KWA KIBWANA KUNA KAZI…BENCHI LINAUA KIPAJI CHAKE FADLU ATAMBULISHA MFUMO MPYA SIMBA…MAALUM KWAAJILI YA KUWAUA WALIBYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

One response to “AUCHO AMCHAMBUA ABUYA NA KUMWAGA YA KAMBINI”

  1. Dar24 says:

    […] Jonas Mkude maarufu kama Nungunungu amefunguka na kusema kwamba, yeye kama mchezaji hajawahi kumroga mchezaji mwenzake Mganda Khaled Aucho. […]