Yanga SC Yapanga Kikao Kizito na Mngqithi Kuelekea Kariakoo Derby Dhidi ya Simba SC
Homa ya pambano la kukata na shoka la Kariakoo Derby linalotarajiwa kurindima Oktoba 10 imeanza kupanda mapema, huku mabingwa watetezi Yanga SC wakianza kuweka mikakati…