MZIZE ATABIRIWA MAKUBWA…EDO KUMWEMBE ATOA NENO
MSHAMBULIAJI wa Yanga Clement Mzize ambaye yupo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amekuwa na kiwango kizuri sana tangu kuanza kwa msimu huu, ambapo…
MSHAMBULIAJI wa Yanga Clement Mzize ambaye yupo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amekuwa na kiwango kizuri sana tangu kuanza kwa msimu huu, ambapo…
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars‘, leo kinaanza kampeni ya kusaka tiketi ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, kitakapocheza…
STRAIKA mpya wa Simba, Leonel Ateba, ameahidi kufunga mabao mengi akiwa na klabu hiyo, akiwaambia mashabiki kuwa huu ni msimu wa ushindi na mataji tu,…
WAKATI jana viongozi wa Azam FC wakitangaza kufikia makubaliano ya pande mbili kuachana na Kocha Youssouph Dabo raia wa Senegal sambamba na wasaidizi wake wote…
Uongozi wa Singida Black Stars umemtumia barua Israel Mwenda na uongozi wake wote pamoja na nakala kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF. Barua…
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inafikiria kuzielekeza Mamlaka bajeti zao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa maeneo yao.…
BAADA YA Soka la Bongo kuripoti juu ya taarifa za Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba, beki wa kulia Israel Mwenda, ambaye tulieleza kwamba amepanga kufikisha…
KLABU ya Simba inatarajia kucheza mechi ya kirafiki wikiendi hii kabla ya kusafiri kwenda Libya kucheza mechi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho dhidi ya…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, alisema Rais Samia Suluhu Hassan ataungana na vilabu vya Simba, Yanga na Azam FC…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameamua kutovunja kambi, badala yake ameendelea na mazoezi na kikosi kilichobaki, baada ya wachezaji 14 wa timu hiyo kuondoka…