CEO FOUNTAIN GATES…KAGOMA TUMEMUUZA SIMBA…NAWASHANGAA YANGA
CEO wa Fountain Gate FC (Zamani Singida Fountain Gate) amekiri kushangazwa na taarifa za Yanga kufungua kesi na kumuwekea pingamizi mchezaji Yusuf Kagoma “Ni kweli…
CEO wa Fountain Gate FC (Zamani Singida Fountain Gate) amekiri kushangazwa na taarifa za Yanga kufungua kesi na kumuwekea pingamizi mchezaji Yusuf Kagoma “Ni kweli…
SAKATA la beki Lameck Lawi limeibua sura mpya baada ya kuelezwa kuwa huenda mchezaji huyo akarudi nchini kutokana na dili lake na K.A.A Gent ya…
MASHABIKI wa Yanga wanatamba wanavyotaka, hata salamu zao tu zimekaa kwa kejeli wakitambia mwanzo wa msimu wakianza kwa kuchukua mataji wakiwachapa vigogo Simba na Azam…
SIMBA imefikia uamuzi wa kushusha straika dakika za jioni kabla ya dirisha la usajili halijafungwa Agosti 15, mwaka huu ikiwa zimebaki takribani siku mbili pekee…
KIUNGO wa Simba Fabrice Ngoma, ameonyesha kuto pendezwa na utaratibu wa uongozi wa benchi la ufundi la klabu ya Simba SC, kumuanzisha benchi mchezaji huyo…
YANGA HII UNAIFUNGAJE? wengine wanasema WE HUOGOPI? ila ukweli wa mafanikio ya Yanga haswa kwenye mechi mbili za Ngao ya Jamii kati ya Simba na…
Misimu 4, Prince Dube hakushinda taji lolote akiwa na Azam FC, lakini ndani ya mwezi 1 akiwa Yanga tayari ana mataji (2) Takwimu za Prince…
MUDA ambao timu ya Azam FC inakwenda kuchukua medali ya mshindi wa pili wa michuano ya Ngao ya Jamii, kama kuna tukio kilikuwa linasubiriwa basi…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne…
BAADA ya Yanga kufanya mabalaa yake kwenye michezo yake miwili ya Ngao ya Jamii na kutwaa tena taji hilo, wamesababisha kutengeneza stori kubwa mtaani kwa…