STRAIKA WA USM ALGER AHITAJIKA CHAP SIMBA
INAELEZWA kwamba Simba SC wako karibu na kumsajili mshambuliaji wa kati kutoka Cameroon, Leonel Ateba (25), yote yamehakikishwa. Mchezaji huyo amevutiwa zaidi na Project ya…
INAELEZWA kwamba Simba SC wako karibu na kumsajili mshambuliaji wa kati kutoka Cameroon, Leonel Ateba (25), yote yamehakikishwa. Mchezaji huyo amevutiwa zaidi na Project ya…
MFUNGAJI wa bao pekee katika mechi ya jana kati ya Simba na Coastal Union, Salehe Karabaka, amewatoa hofu wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuwa…
MUARGENTINA wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema moja ya falsafa anazokuja nazo msimu ujao ni kutoruhusu bao kirahisi kwenye mchezo wowote ambao timu yake itacheza. Gamondi…
LICHA ya kikosi cha Simba kushika nafasi ya tatu kwenye Ngao ya Jamii na washambuliaji wake kufunga bao moja ndani a dakika 180 uongozi wa…
KATIKA MCHEZO wa Simba vs Coastal Union uliomalizika kwa Mnyama kushinda bao 1-0, kuna dakika 10 za mwisho zilikuwa za presha kwa wachezaji wa timu…
MCHEZAJI wa zamani wa Yanga, Jesus Moloko amefunguka kilichomzuia asirudi Tanzania baada ya kutakiwa na Namungo kisha kujiunga na timu ya Diyala SC iliyopo Ligi…
BAADA ya kupewa mkono wa kwaheri na Fountain Gate Princess siku nne zilizopita hatimaye kiungo wa zamani wa Simba, Joelle Bukuru amejumuishwa kwenye kikosi cha…
Ongeza Mzuka na michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, promosheni yenye kutoa Mamilioni kwa wachezaji wote. Jiunge na Meridianbet kasino upate bonasi ya ukaribisho…
KUNA Mambo mawili yanaweza kuifanya mechi kati ya Simba na Coastal ya kuwania mshindi wa tatu ikawa na mvuto na ushindani wa aina yake. Kwanza…
MSIMU mpya wa Ligi kuu unarudi tena kuanzia Agosti 16 ambapo ile vita kati ya Aziz Ki na Fei Toto imerejea tena. Katika mchezo wa…