HANS RAFAEL…SIMBA IMEPATA MTU SANA…KUHUSU DEBORA FERNANDES MAVAMBO
Uchambuzi wa Hans Rafael wa Crown Media kuhusu mchezaji mpya wa Simba, kiungo wa kazi Debora Fernandes Mavambo ambapo, Rafael alimchambua mchezaji huyo kwa kuandika…
Uchambuzi wa Hans Rafael wa Crown Media kuhusu mchezaji mpya wa Simba, kiungo wa kazi Debora Fernandes Mavambo ambapo, Rafael alimchambua mchezaji huyo kwa kuandika…
Baada ya kipigo cha tatu mfululizo cha bao 1-0 kwenye nusu fainali ya Ngao ya Jamii, miongoni mwa mashabiki wa Simba SC wamekubali ubora wa…
MABINGWA WA LIGI KUU YANGA watacheza na Waoka mikate wa Chamazi Azam FC, ambapo hii inatoa taswira za timu hizo kukutana kwenye fainali nyingi zaidi…
Pongezi zielekezwe kwa Simba,wamesajili vizuri,wanaonyesha kuna pahala wanaelekea kuutafuta ubora walionao Yanga kwa takribani misimu mitatu mfungaji! Yanga ilitengeneza upekee wake,kiasi cha kuwa ili uweze…
BAADA ya kutoa asisti ya bao pekee kwenye Kariakoo Dabi ya Yanga na Simba jana mechi ya pili ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii,…
ACHANA na lile sakata la usajili wa beki Lameck Lawi aliyekuwa Coastal Union aliyetimkia kwa sasa KAA Gent ya Ubelgiji, inaelezwa nyota watatu wapya waliosajiliwa…
WINGA wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale amesema kicheko kwa mashabiki wa timu hiyo ni suala la muda, akiwapa ahadi yanayokuja mbele yao yanafurahisha, kwani…
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Klabu ya Yanga kufanya mapitio ya marejeo ya shauri la madai namba 187/2022 lililofunguliwa na Juma Magoma na mwenzake…
HATIMAYE Bodi ya Ligi wametangaza Ratiba ya Msimu wa Ligi Kuu 2024/25 ambayo itaanza kutimua vumbi kuanzia Agosti 16 kwa mchezo mmoja pekee, huku Simba…
HATIMAYE Uongozi wa Simba kupitia Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, imetoa ufafanuzi juu ya jezi namba 28 inayotumiwa na kipa Aishi Manula…