AZIM DEWJI AWATAHADHARISHA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA
Aim Dewji ametoa tahadhari kwa mashabiki wa Simba na Yanga kuacha kwenda na matokeo yao mfukoni, kwani mechi za Dabi huwa hazitabariki. Akizungumza jijini Dar…
Aim Dewji ametoa tahadhari kwa mashabiki wa Simba na Yanga kuacha kwenda na matokeo yao mfukoni, kwani mechi za Dabi huwa hazitabariki. Akizungumza jijini Dar…
KOCHA Mkuu wa Simba Fadlu Davids amezungumzia mchezo wa kesho dhidi ya Yanga, na kusema kwamba hauchukulii mchezo huo kawaida bali anhitaji ushindi tu. Fadlu…
BODI ya Ligi imeweka wazi kwamba kuna maboresho kwenye Kanuni za ligi msimu wa 2024-25 ambapo zinaruhusu timu za Ligi kuu ikiwemo Simba na Yanga…
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema katika kanuni mpya za ligi faini ya kuhusu ushirikina imeongezeka pia lakini wataendelea kutoa Elimu ili…
KESHO KITAELEWEKA, Ni Simba na Yanga fainali ya Ngao ya Jamii katika dimba la Mkapa kitawaka. Simba amesajili wachezaji kibao akiwemo Debora Fernandez Mavambo, Okejepha…
WALINDA MLANGO wa Yanga, Abuutwalib Mshery na Khomein Abubakar wana kazi kubwa ya kufanya kumng’oa kipa namba moja wa timu hiyo, Djigui Diarra ambaye ana…
Wakati joto la dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda, kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameandaa sapraizi katika kikosi chake kabla ya kuivaa Yanga Alhamisi, Agosti…
Baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya APR ya Rwanda, katika Tamasha la Simba Day, winga mchachari wa timu hiyo, Mzambia, Joshua Mutale,…
Mwamuzi Elly Sasii amechaguliwa kuchezesha mechi ya Kariakoo Derby kati ya Young Africans dhidi ya Simba mnamo Agosti 8, 2024 katika dimba la Mkapa. Mwamuzi…
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo amesema msimu watatoa adhabu kwa Maofisa Habari wa timu wanaochekesha na kushindwa kuzungumzia Mpira huku akizikumbusha…