YANGA YAONGEZA KIUNGO MWINGINE
YANGA Princess imekamilisha usajili wa kiungo raia wa Nigeria, Adebisi Ameerat kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Hapoel Petach Tikva. Mchezaji huyo ambaye ana uwezo…
YANGA Princess imekamilisha usajili wa kiungo raia wa Nigeria, Adebisi Ameerat kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Hapoel Petach Tikva. Mchezaji huyo ambaye ana uwezo…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi watakosa huduma ya kiungo wao wa kazi Farid Mussa. Ipo wazi Yanga…
MCHEZAJI wa ZamaniĀ wa Yanga na Wydad Casablanca ya Morocco Simon Msuva anakwenda kuanza maisha mapya Ulaya katika timu iliyopo Jamhuri ya Iraq huko Asia…
KLABU YA YANGA na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara, wamewasilisha nyaraka mbili muhimu kwenye shauri linaloendelea la kimkataba kati yao na Mchezaji Yusuph Kagoma…
BEKI wa zamani wa Yanga, Djuma Shaban anayekipiga Namungo kwa sasa, ametimka nchini kwenda Ufaransa, huku akifunguka kilichofanya aende huko akiwa amepewa muda wa wiki…
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuichezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima uvumi…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, ameamua kutovunja kambi, badala yake ameendelea na mazoezi na kikosi kilichobaki, baada ya wachezaji 14 wa timu hiyo kuondoka…
Klabu ya Wydad Athletic imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize, imefahamika. Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa kama kuna mtu ambaye mashabiki wanapaswa kumpongeza na kumuombea ni mfadhili wa Klabu hiyo, Ghalib…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wanatarajia kucheza mechi nyingine ya kirafiki leo Jumamosi ili kuzidi kukiimarisha kikosi chao kabla ya kukutana na Al Ahly…