ORODHA YA WACHEZAJI TISA WALIOACHWA KAGERA SUGAR, NYOSO PIA YUMO
WACHEZAJI Tisa wameachwa mazima ndani ya kikosi cha Kagera Sugar baada ya mikataba yao kuisha, Nyoso pia, Mwashiuya tayari ashaibukia Mbeya City. Orodha yao hii…
WACHEZAJI Tisa wameachwa mazima ndani ya kikosi cha Kagera Sugar baada ya mikataba yao kuisha, Nyoso pia, Mwashiuya tayari ashaibukia Mbeya City. Orodha yao hii…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
PAUL Nonga, nyota mpya wa Gwambina FC inayonolewa na Fulgence Novatus, ilimlazimu arudishe nauli kwa mabosi wa Namungo ambao walikuwa wanahitaji saini yake. …
KITASA kipya cha Simba, Joash Onyango raia wa Kenya, amefunguka kuwa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Francis Kahata ndiye aliyemleta klabuni hapo kutokana na…
CRIS Mugalo mshambuliaji aliyekuwa anakipiga ndani ya Power Dynamo ya Zambia, leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Simba. Nyota huyo amesaini dili la miaka…
KLABU ya soka ya Simba, leo Agosti 16, wamefanya dua maalumu ya kuombea timu yao baada ya kuwa na msimu wenye mafanikio makubwa…
Sven Vandenbroeck Kocha Mkuu wa Simba ndani ya ardhi ya Bongo Agosti 16 kuendelea kukinoa kikosi hicho. Kocha huyo raia wa Ubelgiji msimu wa…
AZAM FC leo Agosti 16 wamezindua uzi wao mpya kwa ajili ya msimu wa 2020/21. Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la soka…
IBRAHIM Ame beki aliyekuwa akikipiga Coastal Union leo Agosti 16 ametambulishwa ndani ya Klabu ya Simba. Ame amesaini dili la miaka miwili kuongeza nguvu…
JAFFARY Mohamed rasta aliyekuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Yanga ameibukia Namungo FC baada ya kuachwa na Yanga. Nyota huyo ambaye ni kiraka amesaini…