YANGA WACHUKUA MAAMUZI MENGINE KUHUSU BERNARD MORISSON
KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga, Patrick Simon amesema kutokana na matukio ya Bernard Morrison ya utovu wa nidhamu amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili.Morrison hajajiunga na…
KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga, Patrick Simon amesema kutokana na matukio ya Bernard Morrison ya utovu wa nidhamu amepelekwa kwenye Kamati ya Maadili.Morrison hajajiunga na…
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa kuhusu kubaki ndani ya Yanga msimu ujao anamwachia Mungu.Mkataba wa Yanga na Papy Tshishimbi unafika tamati mwezi Agosti…
OLIVIER Giroud, nyota wa Klabu ya Chelsea inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kuondoka ndani ya kikosi hicho na kuibukia ndani ya Inter Milan inayoshiriki…
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
KAMPUNI ya michezo na burudani ambao pia ni wadhamini wakuu wa timu za Simba na Yanga,SportPesa wiki hii waliendesha shindano la kumpata mchezaji bora wa…
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu huu, Simba, wamesema kuwa wataivaa Namungo kwa tahadhari kuhakikisha wanaibuka washindi ili kubeba kombe la tatu msimu huu. Simba…
KIUNGO wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison leo alikutana na joto la kukamatwa kwa muda na jeshi la Polisi Tanzania.Jeshi la Polisi Dar limethibitisha…
AWESU Awesu, nyota aliyekuwa anakipiga ndani ya Kagera Sugar ametambulishwa rasmi leo, Julai 30 kuwa mali ya Azam FC hivyo kukipiga ndani ya kikosi cha…
HATIMA ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison raia wa Ghana itaamuliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), chini ya Kamati ya Sheria na Hadhi…