Latest Posts

BERNARD MORRISON AIBUA MAPYA TENA YANGA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison, ameibuka na jipya akisema kwamba, sababu kubwa ya yeye kutoenda mazoezini ni kuhofia kupigwa na mashabiki na wachezaji wenzake…