GUEDE AWAPIGA MKWARA YANGA…WAPINZANI WANGU.
MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Joseph Guede aliyekuwa akikipiga Yanga msimu uliopita amechimba mkwara mapema akisema anatarajia msimu bora kutokana na wachezaji waliopo. Guede…
MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Joseph Guede aliyekuwa akikipiga Yanga msimu uliopita amechimba mkwara mapema akisema anatarajia msimu bora kutokana na wachezaji waliopo. Guede…
KOCHA Mkuu wa Yanga MIGUEL Gamondi, amewapa tano mastaa wake ikiwa ni pamoja na Clement Mzize, Duke Abuya, Dickson Job kwa kushirikiana kuanza na taji…
KMC tayari wameshamtoa AWESU AWESU kwenye mipango yao kuelekea msimu ujao na Nahodha wao mpya ni KENNY ALLY MWAMBUNGU, kilichopo sasa kati yao ni kuwa…
Inawezekana ni kweli kocha Fadlu Davids anaona wachezaji hawampi kile anachokihitaji kwa sasa, lakini ukweli ni kwamba hajaliangalia tatizo la msingi la timu hiyo kwa…
Uongozi wa timu ya Vital’O ya Burundi umewataja wachezaji wa Yanga SC, kipa Djigui Diarra na viungo Maxi Nzengeli na Stephane Aziz KI kama kizingiti…
Dili la Kiungo Awesu limewapalia Simba baada ya KMC kukimbilia Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka (TFF), kushtaki kuwa, mchezaji…
Taarifa ambazo tunazo zinabainisha kwamba Mchezaji wa Simba Fabrice Ngoma anayecheza nafasi ya kiungo mkabaji maisha yake yanaweza yasiwe marefu klabuni hapo baada ya kuwepo…
CEO wa Fountain Gate FC (Zamani Singida Fountain Gate) amekiri kushangazwa na taarifa za Yanga kufungua kesi na kumuwekea pingamizi mchezaji Yusuf Kagoma “Ni kweli…
SAKATA la beki Lameck Lawi limeibua sura mpya baada ya kuelezwa kuwa huenda mchezaji huyo akarudi nchini kutokana na dili lake na K.A.A Gent ya…
MASHABIKI wa Yanga wanatamba wanavyotaka, hata salamu zao tu zimekaa kwa kejeli wakitambia mwanzo wa msimu wakianza kwa kuchukua mataji wakiwachapa vigogo Simba na Azam…