TSHISHIMBI AFUNGUKA HATMA YAKE NDANI YA YANGA
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga, amesema kuwa muda wowote anaweza kusaini dili jipya ndani ya klabu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Luc Eymael. Hivi karibuni ilielezwa…
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga, amesema kuwa muda wowote anaweza kusaini dili jipya ndani ya klabu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Luc Eymael. Hivi karibuni ilielezwa…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii:-
Kesho ndani ya Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
UONGOZI Namungo umesema kuwa unahitaji kutumia dakika 180 ili kutwaa Kombe la Shirikisho litakalowafanya washiriki mashindano ya kimaifa. Namungo ilikuwa ya kwanza kutinga hatua ya…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anahofu kubwa juu ya Uwanja wa Karume atakautumia kesho watakapomenyana na Biashara United. Yanga itawavaa Biashara United…
KAI Havertz, nyota wa Bayer Leverkusen anatajwa kuibukia ndani ya Chelsea msimu ujao baada ya makubaliano yaliyofanyika na kiongozi wa masuala ya michezo, Rudi Voller…
AISHI Manula, mlinda mlango namba moja wa Simba, amewapoteza makipa wawili wa Yanga katika kukusanya clean sheet na dakika za kukaa langoni. Kwenye mechi tatu…
UONGOZI wa Kagera Sugar umesema kuwa unasahau masuala yote ya mchezo wao wa hatua ya robo fainali dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Taifa,Juni 30…
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa yupo tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Simba wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Julai…