MSUVA APIGWA PINI NYINGINE NDANI YA EL JADIDA
SIMON Msuva, winga wa kimataifa anayekipiga ndani ya Klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco,’Botola Liague’ ameongeza dili la mwaka mmoja.Thamani ya…
SIMON Msuva, winga wa kimataifa anayekipiga ndani ya Klabu ya Difaa El Jadida inayoshiriki Ligi Kuu nchini Morocco,’Botola Liague’ ameongeza dili la mwaka mmoja.Thamani ya…
USHINDI wa mabao 2-0 walioupata Simba mbele ya Azam FC, juzi Uwanja wa Taifa unaifanya Azam FC ikubali kupoteza jumla ya mechi tano ambazo ni…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa ana uhakika wa kuwatumia wachezaji wake wawili kwenye mchezo wake wa hatua ya nusu fainali dhidi ya…
KAMPUNI ya Burudani na Michezo, SportPesa Limited jana imewakabidhi Mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/2020, Simba hundi ya milioni 100 huku Mkuu wa…
ALLY Mayay, mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa Bernard Morrison hapaswi kuwa mkubwa kuliko timu hivyo lazima uongozi uweke usawa katika hili.Mayay amesema kuwa…
NAMUNGO FC iliyo chini Kocha Mkuu, Hitimana Thiery, kesho, Julai 4 itakuwa na kibarua cha kumenyana na JKT Tanzania inayonolewa na Abdallah Mohamed, ‘Bares’ Uwanja…
KLABU ya Simba imeanza safari leo, Julai 3, kuelekea Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo utakaochezwa Uwanja wa Majaliwa…
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu England amesema kuwa haelewi kwa nini wachezaji walishindwa kuwa makini katika kufikiria jambo…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa