LIVE:YANGA 0-0 NAMUNGO FC
Kipindi cha Kwanza Uwanja wa TaifaYanga 0-0 Namungo FCDakika 45 zimekamilika inaongezwa mojaDakika ya 45 Nchimbi ndani ya 18 anacheza fauloDakika ya 44 Said Juma anapiga…
Kipindi cha Kwanza Uwanja wa TaifaYanga 0-0 Namungo FCDakika 45 zimekamilika inaongezwa mojaDakika ya 45 Nchimbi ndani ya 18 anacheza fauloDakika ya 44 Said Juma anapiga…
BAADA ya Klabu ya Yanga kumalizana na beki wa kushoto wa Rayon Sports ya Rwanda, Eric Rutanga, uongozi wa klabu hiyo umeibuka na kudai kuwa…
HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Namungo FC, Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 jioni.
HARRISON Mwakyembe, Waziri wa Habari, Sanaa, Michezo na Utamaduni amesema kuwa kwa kosa la mashabiki wa Mbeya City na Simba kutofuata muongozo wa mita moja…
INAELEZWA mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Mzambia Justin Shonga yupo mbioni kujiunga na Klabu ya CS Maritimo ya nchini Ureno, hiyo ni baada…
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa watakachokutana nacho leo Simba jioni saa 10:00 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara hawataamini kwani wamejipanga…
Kipindi cha KwanzaMbeya City 0-1Simba Dakika 45 zimekamilika zinaongezwa dakika tatuDakika ya 44 Mbeya City wanafanya jaribio haizai matokeoDakika ya 39 Chama anapiga faulo wachezaji…
TIMU ya Namungo FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery mchezo wake uliopita wa Ligi Kuu Bara ikiwa Uwanja wa Majaliwa ilishinda mabao 2-0 mbele…
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo dhidi ya Mbeya City Uwanja wa Sokoine majira ya saa 10:00 jioni
KAMATI ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) imewafungia wachezaji Bernard Morrison kiungo wa Yanga na Jonas Mkude wa Simba michezo miwili kwa kila…