KAZIMOTO NA LAMINE SASA MAMBO FRESH
MWINYI Kazimoto, nahodha wa Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa ameshamsamehe nyota wa Klabu ya Yanga, Lamine Moro kwa kumchezea mchezo usio wa kiungwana walipokutana…
MWINYI Kazimoto, nahodha wa Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa ameshamsamehe nyota wa Klabu ya Yanga, Lamine Moro kwa kumchezea mchezo usio wa kiungwana walipokutana…
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa hesabu kubwa ni kuona wanapata ushindi kwenye mechi yao dhidi ya Ndanda FC, itakayopigwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Juni…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga ameamua kuvunja ukimya na kuweka wazi juu ya hatma ya winga wa kikosi hicho, Mghana, Bernard Morrison, ambaye amekuwa…
ERASTO Nyoni, beki kiraka wa Simba amesema kuwa kupoteza pointi mbili mbele ya Ruvu Shooting hakujawatoa kwenye reli kwa kuwa wanaamini kuwa watapata matokeo chanya…
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa yupo kamili fiti kuendelea kupambana ndani ya kikosi hicho kilicho chini ya Aristica Cioaba, raia…
NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul amesema kuwa iwapo Yanga itamalizana na beki wa pembeni, Kibwana Shomari anayekipiga ndani ya Mtibwa Sugar watakuwa wameongeza mtambo…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amewaomba mashabiki wa masuala ya michezo kumsamehe beki wa Klabu hiyo, Lamine Moro kwa kitendo kisicho cha kiungwana alichokifanya…