Uncategorized

KAZIMOTO NA LAMINE SASA MAMBO FRESH

admin June 19, 2020 5:47 am

MWINYI Kazimoto, nahodha wa Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa ameshamsamehe nyota wa Klabu ya Yanga, Lamine Moro kwa kumchezea mchezo usio wa kiungwana walipokutana Uwanja wa Jamhuri.

Juni 17, Lamine alionekana akimchezea rafu Kazimoto jambo lililosababishwa wote wawili waonyeshwe kadi nyekundu dakika ya 88.

Kazimoto amesema:”Nimezungumza na Lamine kuhusu suala lake na mimi, nimemsamehe kwani masuala ya mipira kuna mambo mengi ila mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.”

Lamine pia aliomba msamaha kwa mashabiki pamoja na wachezaji wenzake mara baada ya mchezo huo uliokamilika kwa timu zote kugawana pointi mojamoja baada ya kufungana baoa 1-1.

NAMUNGO YAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR BIASHARA UNITED: TUNA HALI NGUMU ILA TUNAZITAKA POINTI ZA NDANDA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply