SASA MANCHESTER UNITED YAMGEUKIA BOSI WA SAMATTA
MANCHESTER United, inaripotiwa kuwa imeongeza nguvu kubwa kwa sasa kumpata nahodha wa Klabu ya Aston Villa ya Mbwana Samatta, Jack Grealish baada ya kuambiwa kuwa…
MANCHESTER United, inaripotiwa kuwa imeongeza nguvu kubwa kwa sasa kumpata nahodha wa Klabu ya Aston Villa ya Mbwana Samatta, Jack Grealish baada ya kuambiwa kuwa…
LIGI Kuu Bara imeendelea Jumamosi, Juni 13 na mechi mbili zilichezwa kwenye viwanja vya Mkwakwani mkoani Tanga na Kambarage kule Shinyanga. Kule Kambarage, Mwadui walikuwa…
SIMBA jana ilikubali kugawana pointi mojamoja mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchez wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa. Simba iliyo chini ya Kocha…
LEO timu ya Yanga iliyo chini ya Kocha Mkuu, Luc Eymael imealikwa bungeni. Hizi hapa baadhi ya picha za Yanga wakiwa maeneo ya mjengoni:-
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa kilichowaponza kuambulia pointi moja mbele ya Coastal Union, Juni 13, Uwanja wa Mkwakwani ni upepo mkali pamoja…
INAELEZWA kuwa mshambuliaji wa Azam FC raia wa Zimbabwe, Donald Ngoma ametupiwa virago na Klabu yake hiyo. Ngoma alijiunga na Azam FC akitokea Yanga SC mkataba…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael inaelezwa kuwa ameonyesha nia ya kutaka kuwa na mshambuliaji wake namba moja David Molinga msimu ujao,akiwa ametupia mabao nane.…
BIASHARA United ni miongoni mwa klabu ambazo zinafanya vizuri kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara licha ya kusumbuliwa na tatizo la ukata ambalo limekuwa…
KIUNGO Fabrice Mugheni, amewaaga rasmi mashabiki wa timu yake ya Rayon Sports ya Rwanda kuwa anaondoka mwishoni mwa msimu huu. Fabrice aliwahi kusema kuwa aliombwa…