Latest Posts

FAINALI YA KOMBE LA FA KUPIGWA SUMBAWANGA

FAINALI ya Kombe la Shirikisho lililo mikononi mwa Azam FC mwaka huu itapigwa Sumbambawanga, mkoani Rukwa.Uwanja huo wa Nelson Mandela kwa sasa unaendelea kufanyiwa maboresho…

MOLINGA AACHWA BONGO,HIKI HAPA AMESEMA

KIKOSI cha Yanga leo kimeanza safari ya kuelekea Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mwadui utakaochezwa Juni 14.Katika kikosi hicho…

MBELGIJI WA YANGA KUTUA LEO

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael anatarajiwa kutua leo kwa ajili ya kuendelea kibarua chake majira ya saa 7:20 mchana.Eymael alielekea Ubelgiji baada ya Serikali…

OLE GUNNAR APANGA KUMTUMIA POGBA NA BRUNO

OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United inaripotiwa kuwa amepanga kumtumia kiungo wake Paul Pogba kucheza namba 10 sambamba na kiungo Bruno Fernandes.Pogba tayari…

ARSENAL YAITAKA TOP 4

KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa kikosi chake kwa sasa kipo fiti zaidi ya kilivyokuwa awali. Malengo yao ni kuisaka Top 4.Arteta amesema kuwa…

YANGA WAIFUATA MWADUI FC

KIKOSI cha Yanga kilicho chini ya Kocha Msaidizi, Charles Mkwassa kimeanza safari leo kwa ndinga kuelekea Shinyanga kuifuata Mwadui FC.Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa…

NYOTA SABA WAIPASUA KICHWA AZAM FC

YAKUB Mohamed, Daniel Amoah na Razack Abarola wachezaji hawa kwa sasa bado wapo Ghana.Pia, Bruce Kangwa, Never Tigere na Donald Ngoma hawa wapo Zimbabwe na…