KMC KUTESTI MITAMBO YAKE MBELE YA SIMBA LEO
BAADA ya jana KMC kushinda mabao 3-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru, leo Juni 8 wanatarajia kukutana na Simba,…
BAADA ya jana KMC kushinda mabao 3-0 mbele ya Yanga kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Uhuru, leo Juni 8 wanatarajia kukutana na Simba,…
CHARLES Mkwassa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa kichapo cha mabao 3-0 mbele ya KMC jana umetokana na makosa yao wenyewe waliyoyafanya ndani ya uwanja.Mchezo huo…
KIKOSI cha Simba leo kimeibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Transit Camp kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Mo Simba Arena uliopo…
SELEMAN Mataso, Mwenyekiti wa Klabu ya Biashara United amesema kuwa mipango mikubwa iliyo ndani ya klabu hiyo ni kupambana kumaliza ligi ikiwa ndani ya tano…
MENEJA wa Uwanja wa Fresho Complex, Ombeni Kwekaambaye ndiye amebuni ramani ya uwanja huo amesema umekamilika kwa asilimia 25 na unatarajiwa kukamilika kwa asilimia 100…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa haikuwa rahisi kufunga mabao 19 msimu huu wa 2019/20 kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na mabeki wengi kumpania…
HASSAN Kabunda, winga wa KMC Juni 8, 2020 alimaliza msumari wake wa mwisho kwa kumtungua mlinda mlango wa Yanga bao la kideo kwa mpira wa…
RAHEEM Sterling, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Manchester City amesema kuwa ugonjwa pekee ambao kwa sasa dunia inapambana nao ni ubaguzi wa rangi ambao…
BOSI wa Klabu ya Ajax, Edwin van der Sar amethibitisha kwamba Manchester United imeonyesha nia ya kupata saini ya nyota wao Donny van de Beek.Nyota…
DK.Rashid Seif Mfaume, mganga mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, jana aliongoza jopo la wataalamu kuweza kutembelea makao makuu ya Azam FC kutazama miundombinu…