SERIKALI YAZUNGUMZIA KUHUSU SIMBA NA YANGA KUKUTANA FA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Hassan Abbas amesema kuwa kuna uwezekano wa Simba na Yanga zikakutana kwenye fainali ya Kombe…
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.Hassan Abbas amesema kuwa kuna uwezekano wa Simba na Yanga zikakutana kwenye fainali ya Kombe…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa itakuwa ngumu kwa sasa kumpata kiungo wao Sharaf Shiboub raia wa Sudan kutokana na mipaka ya nchi yao kufungwa.Shiboub aliibukia…
IMEELEZWA kuwa, Kocha Mkuu wa Azam FC, Arstica Cioaba alilazimika kudanganya kuwa ni dereva wa lori ili kuvuka mipaka ya Romania, Hungary na kuibukia Ujerumani…
IMERIPOTIWA kuwa Manchester City haipo tayari kumuachia nyota wake Raheem Sterling ambaye anawindwa na wapinzani wao wakubwa Manchester United wakiitaka saini yake.Mkataba wa mshambuliaji huyo…
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael tayari ameshatumiwa tiketi yake anachosubiri kwa sasa ni kurejea nchini kuanza majukumu yake.Eymael alisepa nchini na kuibukia…
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa atapambana kuona timu yake inatwaa taji la Kombe la Shirikisho ili kuona timu yao inashiriki michuano ya kimataifa.Nchimbi…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa hauna mashaka na mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa kati ya Juni 27/28 Uwanja…
MAJEMBE manne ya kazi yameruhusiwa kutua Yanga kukipiga msimu ujao iwapo mambo yatakwenda sawa.Majembe hayo yanakipiga ndani ya Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda ambao…
MOHAMED Hussein, ‘Tshabalala’ nahodha msaidizi wa Simba amesema kuwa wamejipanga kuendelea na balaa lao uwanjani kwenye mechi zao zilizobaki ndani ya msimu wa 2019/20.Hakukuwa na…