MUONEKANO UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI LIPO MTAANI
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako.
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako.
MEJA mstaafu, Abdul Mingange, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa mchezo wake wa kirafiki dhidi ya Namungo utawarejesha kwenye ramani.Ndanda ina kibarua kizito cha…
MATTY Longstaff, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Newcastle United mwenye umri wa miaka 20 amewekwa kwenye tageti na Klabu ya Udinese Calcio ya Italia.Kandarasi…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi
SIMBA leo imeendelea na mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho kwenye uwanja wao uliopo maeneo…
WATU 300 tu ndio wataruhusiwa kuwa uwanjani wakati za Ligi Kuu England zitarejea. Hii itajumlisha idadi ya wachezaji, benchi la ufundi, wauguzi na madaktari lakini…
MSHAMBULIAJI wa Yikpe Gnamien, ametumia dakika 258 uwanjani akicheza mechi za Ligi Kuu Bara baada ya kujiunga na klabu hiyo kwenye usajili wa dirisha dogo.…
DEOGRATIUS Munish,’Dida’ maisha yake ndani ya Lipuli yalianza kwa kusuasua ana kazi nzito ya kurekebisha makosa yake wakati Ligi Kuu Bara itakaporejea kuanzia Juni 13.…
MTIBWA Sugar ni Klabu ya Soka Tanzania inayopatikana mkoani Morogoro ilianzishwa mwaka 1988 na kundi la wafanyakazi waliokuwa wanafanya kazi kwenye kiwanda hicho waliokuwa wakicheza…
AZAM FC imeendelea na mazoezi yake leo ikiwa ni kujiaanda na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex, Juni 14.Kikosi hicho…