Uncategorized

BALAA LA MWILI JUMBA NDANI YA UWANJA LIPO HIVI

admin June 3, 2020 3:47 pm


MSHAMBULIAJI wa Yikpe Gnamien, ametumia dakika 258  uwanjani akicheza mechi za Ligi Kuu Bara baada ya kujiunga na klabu hiyo kwenye usajili wa dirisha dogo.

Mwili jumba huyo alivunja mkataba na Gor Mahia ya Kenya kabla ya kuibukia ndani ya Yanga iliyo chini ya Luc Eymael ambaye ni Kocha Mkuu.

Raia huyo wa Ivory Coast amesema kuwa hajaonyesha makali kwa kuwa hakupewa nafasi kikosi cha kwanmza anaamini akipewa nafasi atafanya makubwa zaidi.

Mchezo wake wa kwanza mbele ya Singida United alitupia bao moja kwa kichwa kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Namfua wakati Yanga ikishinda mabao 3-1.

 Mechi zake hizi hapa:-Simba (29), Kagera Sugar (20), Azam FC (15), Singida (23), Mtibwa (22), Lipuli (61), Ruvu Shooting (24), Prisons (60) na Polisi Tanzania (26), Namungo (2)
WATU 300 KUINGIA UWANJANI LIGI KUU ENGLAND ITAKAPOANZA DIDA ANA KAZI NZITO YA KUFANYA NDANI YA LIPULI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply