SIMBA NA YANGA YAPIGANA VIKUMBU KUPATA SAINI ZA MITAMBO HII YA MABAO
BIGIRIMAMA Blaise na Relliants Lusajo ni mitambo ya kucheka na nyavu inaotajwa kuingia anga za Klabu ya Yanga na Simba ambazo zina mpango wa kuboresha…
BIGIRIMAMA Blaise na Relliants Lusajo ni mitambo ya kucheka na nyavu inaotajwa kuingia anga za Klabu ya Yanga na Simba ambazo zina mpango wa kuboresha…
JADON Sancho, ameungana na dunia kiujumla kutetea haki ya George Floyd ambaye inaripotiwa kuwa aliuawa na Polisi mweupe wa Marekani kwa sababu za kiubaguzi wa…
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Jumatatu, lipo mtaani jipatie nakala yako
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ana matumaini makubwa ya Klabu yake kuchukua ubingwa kutokana na nafasi ambayo wapo kwa sasa.Simba ipo nafasi…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu lipo mtaani jipatie nakala yako na nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
RAIS wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa mataminio ya mabadiliko ndani ya Yanga ni safari a tatu…
INJINIA Hersi Said,Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM amesema kuwa mpango mkubwa wa kuwa wadhamini ndani ya Klabu ya Yanga ni kuona kwamba siku watakayoondoka wanaacha alama…
KESHO ndani ya Championi Jumatatu, usipange kukosa kupata nakala yako.
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mchakato wao wa mabadiliko ni ndoto yao ya muda mrefu hivyo wanaamini kwamba itafanikiwa bila mashaka yoyote yale kwa kuwa…
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wana kazi kubwa ya kupambana kwenye mechi 10 kutokana na wapinzani wao kujipanga kupata matokeo.Simba imecheza mechi 28…