YANGA YAFICHUA MBINU ZITAKAZOWAREJESHA KIMATAIFA
UONGOZI wa Yanga umefichua kuwa mbinu pekee itakayowarudisha kushiriki michuano ya kimataifa ni kutwaa taji la Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Azam FC…
UONGOZI wa Yanga umefichua kuwa mbinu pekee itakayowarudisha kushiriki michuano ya kimataifa ni kutwaa taji la Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Azam FC…
LIGI Kuu England inatarajiwa kurejea rasmi Juni 17 kwa mechi mbili ambazo zilikuwa viporo kati ya Manchester City dhidi ya Arsenal na ule kati ya…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa lipo mtaani jipatie nakala yako
JEREMIE Aliadiere, mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Arsenal amesema kuwa mshambuliaji Pierre Emerick Aubameyang inabidi auzwe mazima.Nyota huyo amesema Aubameyang amechangia kumuweka Kocha Mkuu…
PHILIPPE Coutinho, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Bayern Munich kwa mkopo akitokea Barcelona anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho msimu ujao.Nyota huyo hajawa kwenye…
IMEELEZWA kuwa, makocha wote wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wameambiwa kwamba wanapaswa kumaliza mechi zao zilizobaki ndani ya wiki sita ili kumaliza shughuli za…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji namba moja ndani ya Klabu ya Simba alitajwa kuibukia ndani ya Klabu ya Levante ya Hispania.Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya nyota huyo…
WACHEZAJI wote wa Klabu ya Yanga tayari wameripoti kambini na kuanza kufanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara.Ofisa Habari…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa bado ni ngumu kwa kiungo wao wa Kenya Francis Kahata kuibuka Bongo kwa sasa kutokana na mipaka ya huko kufungwa…
IMESHAKUWA wazi kwamba masuala ya michezo yanarejea Juni Mosi baada ya Serikali kuruhusu burudani kuendelea baada ya kusimama kwa muda mrefu. Machi 17 Serikali ilisimamisha…