SVEN ACHEKELEA KUREJEA KWA SHEVA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ana imani ya kumtumia kiungo wake mshambuliaji Miraj Athuman,’Sheva’ kwenye mechi zilizobaki kutokana na kurejea kwenye ubora…
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ana imani ya kumtumia kiungo wake mshambuliaji Miraj Athuman,’Sheva’ kwenye mechi zilizobaki kutokana na kurejea kwenye ubora…
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya ushindani kutokana na wachezaji wao kuwa na mwendelezo wa mazoezi wakati…
RAZACK Abarola, mlinda mlango namba moja wa Azam FC mikono yake ya dhahabu imepotezwa na mlinda mlango wa Simba Aishi Manula kwa upande wa kukusanya…
KILIO cha wengi awali ilikuwa ni kuona kwamba mambo yanatulia na masuala ya michezo yanaendelea ili wanafamilia ya michezo wapate burudani ambayo walikuwa wameikosa. Ilikuwa…
Na Saleh Ally BUDUBURAM ni kambi ya wakimbizi iliyo kilomita 44 Kaskazini mwa jiji kubwa zaidi nchini Ghana. Hii ni kambi maalum iliyoanzishwa mwaka 1990…
YANGA imeanza mazoezi yake ikiwa chini ya Kocha Msaidizi, Charles Mkwasa katika Uwanja wa Chuo cha Sheria Dar es Salaam.Ofisa Uhamasishaji na Msemaji wa Yanga,…
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa yupo vizuri kuendelea kupambana kwenye mechi za ushindani.Mbaraka alikuwa nje akitibu majeraha yake aliyopata wakati…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa bado unaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili kujiweka salama kabla ya kuanza kucheza mechi za ushindani.Masuala ya…
TIMO Werner, staa wa Klabu ya RB Leipzig raia wa Ujerumani amewekwa kwenye rada za vinara wa Ligi Kuu England Liverpool.Werner mwenye miaka 24 anakipiga…