VITA YAZIDI KUNOGA KUWANIA SAINI YA MGHANA KATI YA SIMBA NA YANGA
KOCHA mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amesikia ishu ya Simba kumfukuzuia mshambuliaji wa Rayon Sports, Mghana Michael Sarpong. Kumekuwa na tetesi za Simba kuingia…
KOCHA mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amesikia ishu ya Simba kumfukuzuia mshambuliaji wa Rayon Sports, Mghana Michael Sarpong. Kumekuwa na tetesi za Simba kuingia…
CRISTIAN Pulisic, mwenye miaka 21 anayekipiga ndani ya Klabu ya Chelsea amesema kuwa siku ya kwanza wachezaji wenzake walimchunia ndani ya gari.Nyota huyo alijiunga Chelsea…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, raia wa DR Congo, Deo Kanda, katika mazoezi ya juzi Jumatatu yaliyofanyika katika Ufukwe wa Escape One, alijikuta akishindwa kuendelea baada…
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), jana ilimuita ofisini kwao Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidao kwa ajili…
HILI hapa kosi lake la kwanza mshambuliaji wa Namungo, Relliants Lusajo ambaye inaelezwa kuwa amewekwa kwenye rada za mabosi wake wa zamani Yanga:- Juma Kaseja…
JUMA Mahadhi, winga wa Yanga amesema kuwa kwa sasa yupo vema anatarajia kurejea uwanjani pale ligi itakaporejea.Mahadhi alikuwa nje msimu mzima akiuguza jeraha la goti…
HASSAN Kessy, beki wa pembeni wa Klabu ya Nkana Rangers ya Zambia amesema kuwa anapiga hesabu za kutimka kikosini hapo msimu ujao.Nyota huyo anayeperusha bendera…
HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa alikuwa tayari kurejea ndani ya Yanga ila mipango imebadilika kwa sasa.Ilikuwa inaelezwa kuwa kiungo…
NAHODHA wa Klabu ya Watford, Troy Deeney amesema kuwa hataripoti kwenye mazoezi ya timu hiyo kutokana na hofu ya maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo…