Uncategorized

HASSAN KESSY APIGA HESABU ZA KUTIMKA NKANA MSIMU UJAO

admin May 20, 2020 8:47 am


HASSAN Kessy, beki wa pembeni wa Klabu ya Nkana Rangers ya Zambia amesema kuwa anapiga hesabu za kutimka kikosini hapo msimu ujao.

Nyota huyo anayeperusha bendera ya Bongo nje ya nchi alibukia ndani ya klabu hiyo akitokea timu ya Yanga.


Kessy amesema ana ofa zaidi ya mbili na moja ni ya Tanzania ambayo amegoma kuiweka wazi kwa sasa.


 “Mimi ninaruhusiwa hivi sasa kufanya mazungumzo na klabu nyingine ikiwa itanihitaji kwani mkataba wangu unamalizika mwishoni mwa msimu hivyo mambo yakijibu nitaondoka ndani ya Nkana.”

NAHODHA WA WATFORD AGOMEA KUREJEA KAMBINI, WATATU WAKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA DILUNGA AWEKA BAYANA NAMNA DILI LAKE LA KUIBUKIA YANGA LILIVYO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply