IBRAHIM BACCA ATWAA TUZO YA BEKI BORA.
Beki wa kati wa Yanga SC na Timu ya taifa ya Tanzania, Ibrahim Bacca ameshinda tuzo ya beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania…
Beki wa kati wa Yanga SC na Timu ya taifa ya Tanzania, Ibrahim Bacca ameshinda tuzo ya beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania…
Straika wa zamani wa Simba SC, Athuman Machupa amesema ili Joshua Mutale ajijengee ufalme ndani ya klabu hiyo, kiwango chake kiwe na mchango mkubwa akimsisitiza…
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP). Diarra amewashinda Khomein Abubakar…
Winga wa Yanga kutoka Afrika Kusini, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’, amesema amegundua mbinu mpya ya kupata muda zaidi wa kucheza kikosini. “Kwa ushindani uliopo nimegundua kuwa…
STEPHEN Aziz Ki katika msimu wa 2023/24 alifunga jumla ya mabao 21 katika Ligi Kuu Bara ndani ya uwanja akiwa na tuzo yake mkononi kwa…
KLABU YA SIMBA ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari wa AS Vita, Elie Mpanzu lakini kuna wakati jitihada huwa hazizai matunda na ndicho kimetokea…
Wild Corrida ni mchezo wa kasino unaonesha onyesho utamaduni wa mapigano ya ng’ombe na ni maarufu sana nchini Hispania na Ureno. Jisajili Meridianbet upate bonasi…
Shirikisho la soka Tanzania TFF limetoa orodha ya wanaowania tuzo za msimu wa 2023/24, zitakazotolewa Usiku wa Leo Agosti Mosi kwenye ukumbi wa The Super…
BAADA ya Maneno kuwa mengi sana Mtandaoni kuhusu Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize kutotumia nafasi anazopata. Mchezaji huyo amefunguka kwa kuwanyamazisha mashabiki. Mzize amekuwepo Yanga…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ni mapema, lakini amefurahishwa na pacha iliyotengenezwa na Prince Dube wakishirikiana na Clement Mzize akiwataja kuwa wanamuofa vitu…