AZAM FC WATOA TAMKO KUHUSU LIGI KUCHEZWA BILA MASHABIKI
THABIT Zakaria, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa hakuna tatizo iwapo Ligi Kuu Bara itarejea na kuchezwa bila mashabiki kwa kuwa imetokea ikiwa ni…
THABIT Zakaria, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa hakuna tatizo iwapo Ligi Kuu Bara itarejea na kuchezwa bila mashabiki kwa kuwa imetokea ikiwa ni…
BIASHARA United ya mkoani Mara ipo nafasi ya 10 ikiwa na pointi 40 kwenye Ligi Kuu Bara.Safu yake ya ushambuliaji imefunga mabao 21 huku safu…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
KIUNGO wa Polisi Tanzania, anayewindwa na Simba, Yanga na Azam FC huenda akasepa zake na kuibukia Morocco kukipiga soka la kulipwa.Baraka Majogoro ambaye msimu huu…
ABDULHAMAN Humud, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Mtibwa Sugar amesema kuwa miongoni mwa wachezaji wanaocheza kwenye nafasi yake anaowakubali ni pamoja na Papy Tshishimbi…
Yanga hivi sasa wanasubiria tu dirisha la usajili lifunguliwe, kwani tayari kibindoni wana kitita Sh Bil 1.5, ambazo wametengewa na wadhamini wao Kampuni ya GSM.…
MABOSI wa Simba wamesema kuwa wamemruhusu kiungo wao, Ibrahim Ajibu kuondoka muda wowote atakaohitaji na kwenda kujiunga na klabu nyingine itakayomuhitaji kwa masharti, ikiwemo Yanga.…
NYOTA wengi wa kikosi cha kwanza cha Azam FC wapo nje ya nchi kwa sasa jambo linalowapasua kichwa mabosi wao.Razack Abarola, Yakub Mohamed,Nevere Tigere na…
IWAPO mipango itakwenda sawa basi nafasi ya kubaki ndani ya Coastal Union kwa beki wa kati Bakari Mwamnyeto ni ndogo anaweza kuibukia mitaa ya Kariakoo…