Latest Posts

SANCHEZ MAMBO MAGUMU MPAKA INTER MILAN

ANTONIO Conte, Kocha Mkuu wa Inter Milan inaelezwa kuwa hana mpango wa kumsajili moja kwa moja nyota wa Manchester United, Alexis Sanchez anayecheza kwa mkopo…

KIUNGO YANGA AOMBA MKATABA SIMBA

KIUNGO wa zamani wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho, ameibuka na kuwaambia viongozi wa Simba kuwa yupo tayari kurejea nchini kujiunga na timu hiyo.Coutinho anayekipiga katika…