BEKI NKANA FC AKUBALI KUMWAGA WINO NDANI YA YANGA
MUSSA Mohamed, beki wa Nkana FC amesema kuwa dili lake la kutua Yanga lipo ila Virusi vya Corona vimetibua mambo kwenda sawa.Beki huyo, raia wa…
MUSSA Mohamed, beki wa Nkana FC amesema kuwa dili lake la kutua Yanga lipo ila Virusi vya Corona vimetibua mambo kwenda sawa.Beki huyo, raia wa…
DAVID Molinga, mshambuliaji namba moja wa Yanga amesema kuwa anayafurahia masiha ndani ya Yanga kutokana na sapoti anayopewa kutoka kwa mashabiki pamoja na viongozi.Raia huyo…
RELLIANTS Lusajo, mshambuliaji wa Namungo FC amesema kuwa anauwezo wa kucheza timu yoyote ndani ya Bongo kikosi cha kwanza kutokana na uwezo alionao. Imekuwa ikielezwa…
MICHAEL Sarpong raia wa Ghana, mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda anatajwa kutua ndani ya Klabu ya Yanga. Nyota huyo amesitishiwa …
HAMIS Kiiza, mshambuliaji wa zamani wa Yangana Simba amewataka wachezaji watakaopata nafasi ya kuzitumikia timu mpya msimu ujao lazima watambue thamani yao pamoja na timu…
MUONEKANO wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili usipange kukosa nakala yako Jero tu
MAALIM Busungu mshambuliaji wa z amani wa Yanga amesema kuwa kwa sasa ni muhimu kila mmoja akachukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona. Busungu amesema…
Mshambuliaji wa timu ya Kagera Suga,Yusuf Mhilu amesema kwamba yupo tayari kurudi katika klabu ya Yanga kama uongozi wa klabu hiyo utatekeleza mahitaji yake. Mhilu…
MSHINDO Msolla, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, amesema kuwa mambo mengi ya klabu hiyo yamesimamishwa kwa muda kutokana na janga la Virusi vya Corona. Msolla…
SVEN Yidah, kiungo anayekipiga Klabu ya Kariobang Sharks ya Kenya amesema yupo tayari kusaini ndani ya Yanga ili kucheza kwa mabingwa hao wa kihistoria kutokana…