Uncategorized

MTUPIAJI HUYU AKUBALI KUTUA YANGA

admin May 3, 2020 3:43 am
Mshambuliaji wa timu ya Kagera Suga,Yusuf Mhilu amesema kwamba yupo tayari kurudi katika klabu ya Yanga

kama uongozi wa klabu hiyo utatekeleza mahitaji yake.

Mhilu amesema kwamba kwa sasa bado hajafanya mazungumzo na Yanga zaidi ya kusikia tetesi kwamba anahitajika na klabu hiyo ambayo amewahi kuhudumu kwenye timu ya vijana.

Amesema kwamba kwa sasa yupo huru kuzungumza na timu yeyote itakayomuhitaji.

BUSUNGU AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA MGHANA HUYU ANATAJWA KUIBUKIA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply