NYOTA WA YANGA APANIA KUENDELEZA MOTO WAKE WA KUCHEKA NA NYAVU
TARIQ Seif, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa atahakikisha anaendelea kutupia kila anapopopata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.Seif ni ingizo jipya ndani ya Yanga ambapo…
TARIQ Seif, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa atahakikisha anaendelea kutupia kila anapopopata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.Seif ni ingizo jipya ndani ya Yanga ambapo…
AMIS Tambwe, mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Simba amesema kuwa Yanga inahitaji kufanya usajili makini ambao utawapa matokeo chanya msimu ujao.Akizungumza na Saleh Jembe,…
UONGOZI wa Mbeya City umesema kuwa unaendelea kuomba dua usiku na mchana hali ikae shwari ili maisha yaendelee kama zamani. Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa…
Kesho ndani ya Cham pioni Jumamosi
IMEBAINIKA kuwa kwa sasa mabosi wa Yanga wanasubiria kauli ya kocha wao Luc Eymael tu kwa ajili ya kumalizana na mastaa wawili Lucas Kikoti na…
HIZI hapa picha za beki wa Yanga Ally Mtoni akiuaga ukapera
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga, amesema kuwa anaomba dua usiku na mchana janga la Virusi vya Corona lipite ili ligi irejee kutokana na kukumbuka…
PAUL Nonga, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Lipuli FC chenye maskani yake mkoani Iringa anawapa tabu mabosi wake hao kwa sasa kumtafuta mbadala…
PASCAL Wawa raia wa Ivory Coast amesema kuwa kwa sasa amekuwa akitumia muda mwingi katika upishi kwa kujipikia vyakula anavyopenda kila baada ya kumaliza mazoezi…
SIMBA ipo katika mawindo ya kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao wa ligi na michuano ya kimataifa, endapo itatwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.…