BORUSSIA DORTMUND WAIGANDA SAINI YA SANCHO
BORUSSIA Dortmund imeripotiwa kuwa imeanza mazungumzo na mchezaji wao Jadon Sancho ili aongeze mkataba wake kuendelea kubaki Klabuni hapo.Nyota huyo mwenye miaka 20 amekuwa akipigiwa…
BORUSSIA Dortmund imeripotiwa kuwa imeanza mazungumzo na mchezaji wao Jadon Sancho ili aongeze mkataba wake kuendelea kubaki Klabuni hapo.Nyota huyo mwenye miaka 20 amekuwa akipigiwa…
WACHEZAJI wawili ndani ya kikosi cha mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara Simba ambao wote ni viungo, Jonas Mkude na Said Ndemla, watakuwa wamepoteza dili lao…
SELEMAN Matola ndani ya Simba msimu huu ameongoza timu hiyo kwenye mechi 18 akiwa ni Kocha Msaidizi baada ya kujiunga na mabingwa hao watetezi wa…
BAKARI mwamnyeto, beki anayekipiga Coastal Union, dili lake la kutua Simba limeingiliwa kati na wapinzani wa jadi Yanga ambao wanahitaji huduma yake.Beki huyo chipukizi alikuwa…
OBREY Chirwa, nyota wa Azam FC amesema kuwa ataendelea kutoa burudani ndani ya klabu hiyo baada ya kuongeza kandarasi ya mwaka mmoja.Nyota huyo jana, Apririli…
ALVARO Morata, mshambuliaji wa Klabu ya Atletico Madrid amesema kuwa kukabiliana na beki kitasa wa Liverpool, Virgil van Dijk kunahitaji akili kwani ni ngumu mithili…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tayari ukarabati wa Uwanja wa Azam Complex umekamilika asilimia zote ukiwa sawa na ule wa TP Mazembe huku ukitaja…
SALUM Kihimbwa, mshambuliaji wa Mtibwa Sugar mwenye rasta kichwani ameingia kwenye hesabu za mabosi wa Yanga ambao wanahitaji kuboresha kikosi chao msimu ujao. Hivi karibuni…
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa, nafasi ya kushinda ndinga mpya ni yako
AISHI Manula amekaa Langoni Kwenye mechi 21 za Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 1,890.Ametunguliwa mabao 10 akiwa na wastani wa kutunguliwa bao moja kila…