KWA WALICHOKIFANYA IHEFU WANASTAHILI KUWA DARASA, ILA HILI LA CORONA LISIPUUZWE
KAZI bado ipo palepale kwa kila mmoja kuendelea kujilinda kila siku kila saa kwa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona. Virusi vya Corona ni…
KAZI bado ipo palepale kwa kila mmoja kuendelea kujilinda kila siku kila saa kwa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona. Virusi vya Corona ni…
KIUNGO wa Borussia Dortmund, Emre Can amefunguka kuwa aliyewahi kuwa kocha wake Maurizio Sarri alishindwa kumpa nafasi, lakini kwa kiasi alipata uzoefu. Can amejiunga na…
VITA ni vita bila kujali ni jambo la aina gani ambalo unapambana nalo kikubwa ni mpango mpya na kujua namna ya kuingia kwa hesabu kutafuta…
AISHI Manula mlinda mlango namba moja wa Klabu ya Simba amesema kuwa kwa sasa amezikumbuka kelele za mashabiki wake uwanjani ila anashindwa kuziskia kutokana na…
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa kipindi hiki kigumu cha maambukizi ya Virusi vya Corona wameamua kuwa mabalozi kwa jamii ili kupambana kwa pamoja…
DARUWESH Saliboko, nyota anayewindwa na Klabu ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anapiga mazoezi mara moja kwa wiki ili kulinda kipaji chake. Nyota huyo anayekipiga…
STAA wa Klabu ya Inter Milan, Alexis Sanchez wiki hii anatarajiwa kurejea jijini Milan akitokea nchini kwao Chile baada ya kupewa ruhusu licha ya Serie…
MOHAMED Rashid, mshambuliaji wa Simba anayekipiga kwa mkopo ndani ya Klabu ya JKT Tanzania amesema kuwa bado hajazungumza na mabosi wake kuhusu hatma ya mkataba…
JESE Rodriguez, mshambuliaji wa Klabu ya PSG anayekipiga ndani ya Klabu ya Sporting Lisbon kwa mkopo yupo kwenye mpango wa kurejea kwenye klabu yake ya…
MBARAKA Yusuph, mshambuliaji wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akifanya mazoezi binafsi akiwa nyumbani.Akizungumza na…