Latest Posts

HESABU ZA MBARAKA YUSUPH ZIPO NAMNA HII

MBARAKA Yusup h, mshambuliaji wa Azam FC  amesema kuwa kwa sasa anaendelea na mazoezi binafsi akiwa nyumbani ili kurejea kwenye kasi yake ya zamani. Mbaraka…

SIMBA YAMPA PONGEZI KAHATA

UONGOZI wa Simba umempa pongezi Francis Kahata kwa kujitolea kwa jamii yake nchini Kenya.Kahata ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya alitoa msaada wa lita 10,000…

NAHODHA WA MBWANA SAMATTA AOMBA RADHI

JACK Grealish, nahodha wa Aston Villa ameomba radhi baada ya kuvunja agizo la Serikali la kujifungia ndani wakati huu wa mlipuko wa virusi vya Corona.Grealish,…