MENEJA WA KIBU DENIS AELEZA ALIPO MCHEZAJI WAKE
IKIWA Sintofahamu juu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri, Meneja na Msimamizi wa nyota huyo, Carlos Mastermind amesema nyota na hadai…
IKIWA Sintofahamu juu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri, Meneja na Msimamizi wa nyota huyo, Carlos Mastermind amesema nyota na hadai…
Klabu ya Simba imefunguka kuhusu wachezaji wao wawili, kipa Aishi Manula pamoja na beki wa pembeni, Israel Patrick Mwenda kutofika kambini nchini Misri mpaka sasa…
BEKI Mtanzania Abdallah Shaibu ‘Ninja’ amemalizana na FC Lupopo ya DR Congo ambapo amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu hiyo msimu ujao. Ninja amesema…
KIPA wa Simba, Hussein Abel amesema kwa aina ya mazoezi yanayofanywa na kikosi hicho yanampa taswira ya jinsi ambavyo watakuwa na ushindani dhidi ya wapinzani…
KUNA jambo linaendelea juu ya sakata la mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokana na kuchelewa kujiunga na kambi ya kujiandaa na msimu wa 2024-2025 iliyopo…
KIWANGO bora kinachoonyeshwa na nyota wa Yanga, Maxi Nzengeli, raia wa DR Congo, kimewavutia mabosi wa Kaizer Chifes walioamua kupiga hodi na kuulizia uwezekano wa…
Aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultani (40) na wenzake wanaendelea kusota rumande kwa siku 609 sasa kutokana na upelelezi wa shauri…
KIUNGO mpya wa Simba, Augustine Okejepha, amefungukia mipango mikali aliyonayo msimu ujao, akieleza namna makocha wanavyokoleza moto kambini, huku akituma salamu Yanga akisema “subirini muone.”…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema ana kazi kubwa ya kufanya ili kuhakikisha kwamba anatengeneza usawa kutokana na vita ya namba iliyopo kikosini kwake…
BEKI mpya wa Yanga, Chadrack Boka amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo baada ya wikiendi iliyopita kupata maumivu katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Augsburg…