YANGA: TULIWABANA MBAVU NAMUNGO, WASHUKURU MWAMUZI
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwassa amesema kuwa Namungo FC washukuru bahati haikuwa yao kwani waliwabana mbavu na kushinda bao la halali ambalo lilikataliwa na…
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwassa amesema kuwa Namungo FC washukuru bahati haikuwa yao kwani waliwabana mbavu na kushinda bao la halali ambalo lilikataliwa na…
KIKAO cha Kamati ya Uongozi cha TFF kimeazimia kuwa, baada ya siku 30 Serikali itakaporuhusu michezo kuendelea, mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la…
MASHINDANO ya CHAN ambayo yanawashirikisha wachezaji wa ligi za ndani pamoja na yale ya Afcon yatapagiwa tarehe kulingana na hali itakavyokuwa ya ugonjwa wa Corona.Dunia…
IMEELEZWA kuwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England zimepanga kumalizia msimu wa 2019/20 kwa kucheza mechi zao zilizobaki bila kuwa na mashabiki na kwenye viwanja huru.…
KLABU ya Azam FC, leo Machi 18, 2020, imevunja rasmi kambi yake na kuwaruhusu wachezaji wote kurudi makwao. Taarifa rasmi iliyotolewa kupitia ukurasa wa Instagram…
KIUNGO Blaise Matuidi anayekipiga Juventus ya Italia inayoshiriki Serie A amepatikana na ugonjwa wa Corona. Klabu yake ya Juventus imethibitisha hilo na kumfanya afikishe idadi…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu ya Simba ni miongoni mwa timu kubwa Bongo kutokana na uwezo wake wa kutokata tamaa ya…
LAMINE Moro, beki kisiki ndani ya Yanga amesema kuwa alipewa mbinu na Simba wenyewe za kuwabana washambuliaji wao jambo ambalo halikumpa tabu Machi 8, walipokutana.…
TIMU ya Mtibwa Sugar ambayo leo ilikuwa ina mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani inatarajia kuanza safari…
Isabella ni mwanamichezo mwenzetu ambaye amegundulika na ugonjwa wa Virusi vya Corona. Amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kugundulika ana Corona, hivyo tumuombee…