POLISI TANZANIA: KAZI BADO IPO KWENYE LIGI
UONGOZI wa Polisi Tanzania umesema kuwa bado una kazi kubwa ya kufanya ndani ya Ligi Kuu ili kutimiza malengo waliyojiwekea msimu huu. Polisi Tanzania ipo…
UONGOZI wa Polisi Tanzania umesema kuwa bado una kazi kubwa ya kufanya ndani ya Ligi Kuu ili kutimiza malengo waliyojiwekea msimu huu. Polisi Tanzania ipo…
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa walitumia nguvu nyingi kupambana na Simba jambo lililowafanya washindwe kusepa na pointi tatu mbele ya KMC.Yanga jana Machi…
Na Saleh Ally USIKU wa kuamkia jana imetangazwa kuwa beki wa klabu kigogo ya Italia, Juventus amebainika kuwa anaugua ugonjwa wa Covid-19 maarufu kama Corona.…
NA SALEH ALLY AWALI ilikuwa ni dalili lakini sasa tunaweza kusema uthibitisho umebaki ni kufungua mdomo tu lakini kila kitu sasa kipo wazi. Uwazi huo…
ODION Ighalo nyota mpya wa Manchester United amezidi kuimarika ndani ya kikosi hicho baada ya kuonyesha kiwango bora kwenye mchezo wa Europa League wakati wakiwambamiza…
ARSTICA Cioaba,raia wa Romania, Kocha Mkuu wa Azam FC ametozwa faini ya kiasi cha shilingi laki tano (500,000) kwa kosa la kugoma kuongea na waandishi…
KIKOSI cha Simba kikiwa kimecheza mechi 28 kimebakiza mechi 10 kukamilisha mzunguko wa pili.Mechi zake 10 zilizobaki watakutana na wapinzani hawa:-Simba v Ruvu ShootingSimba v…
KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta na kiungo wa timu ya Chelsea, Callum Hudson-Odoi wote wamegundulika na Virusi vya Corona baada ya kufanya vipimo.Arteta mwenye…
MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma GAZETI la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la CHAMPIONI Ijumaa