MSIMAMO WA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA
MSIMAMO wa Ligi ya Wanawake Tanzania baada ya kucheza mechi 10 upo namna hii
MSIMAMO wa Ligi ya Wanawake Tanzania baada ya kucheza mechi 10 upo namna hii
GADIEL Michael, beki wa Simba amesema kuwa kwa sasa mapambano lazima yaendelee kwani hakuna muda wa kupumzika kwenye maisha ya soka.Michael alipewa nafasi ya kuvaa…
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kutinga kwao hatua ya robo fainali mbele ya Gwambina kunawapa muda wapinzani wao kurejea Mwanza kuendelea na…
PIERRE -Emerick Aubameyang amesema kuwa amekosa furaha kwa timu yake kushindwa kupenya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa kwa kufungwa mabao 2-1 na…
ABDULMUTIK Hajji amepewa mikoba ya kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Mbao FC ya Mwanza. Awali Hajji alikuwa Kocha Msaidizi ndani ya kikosi hicho na…
LIGI Kuu ya Wanawake inazidi kuchanja mbunga ambapo kwa sasa ipo raudi ya 10. Jana Februari 27, 2020 raundi ya 10 Ligi ya Wanawake iliendelea…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa baada ya kumalizana na Ihefu sasa akili zao ni kwenye mchezo wa kesho dhidi ya JKT Tazania.Azam FC ilipenya…
PAUL Pogba kiungo mshambuliaji wa Manchester United amesema kuwa hapendi kuiona Liverpool ikitwaa ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.Liverpool na Manchester United ni wapinzani…
Hivi ndivyo Saleh Jembe anavyoichambua Yanga na mikakati yake ya kutwaa ubingwa:-Yanga bado haina mwendo mzuri maana iko katika nafasi ya nne baada ya kucheza…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikosi kwa sasa bado kipo kwenye presha kubwa kutokana na matokeo ambayo wanayapata.Eyamel amekiongoza kikosi chake kupata…