CHEKI MOTO WA KIKOSI BORA CHA WIKI CHA SIMBA NA YANGA
CHEKI namna mchambuzi na mwandishi wa michezo Saleh Jembe alivyokuja na kikosi bora cha wiki cha Simba na Yanga namna hii:-
CHEKI namna mchambuzi na mwandishi wa michezo Saleh Jembe alivyokuja na kikosi bora cha wiki cha Simba na Yanga namna hii:-
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kwenye kila jambo ambalo analifanya haachi kumuomba Mungu ili amuongoze kwani yeye ndiye kila kitu.Kagere ni kinara wa…
HARUNA Harerimana, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa wachezaji wake wamekuwa wakisahau maelekezo wanayopewa wanapoingia uwanjani jambo linalomfanya ashindwe kupata matokeo.KMC ilikubali kichapo cha mabao…
UONGOZI wa Mbao FC umesema kuwa kilichomuondoa ndani ya timu hiyo aliyekuwa Kocha Mkuu Hemed Morocco ni ukosefu wa fedha unaoikabili Mbao kwa sasa.Morocco aliomba…
SIMBA jana uwanja wa Taifa walitoa burudani mbele ya mashabiki wake licha ya kushinda bao 1-0 mbele ya Kagera Sugar. Kagera Sugar ilicheza kwa kujilinda…
Timu ya Azam FC leo Februari 19, imekwenda kujitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Godfrey Zambi.Msafara wa Azam FC kwenda kwa Zambi, uliongozwa…
BAADA ya jana kulaizmisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Polisi Tanzania, mambo bado ni moto ndani ya yanga na hii hapa ni ratiba…
TANZANIA Prisons iliyo chini ya Adolf Rishard ni balaa kwa upande wa kulazimhsa sare ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2019/20. Imefunga jumla…
SAUL Niquez nyota wa Atletico Madrid alipachika bao pekee la ushindi mbele ya Liverpool dakika ya nne kwenye hatua ya 16 bora ya mchezo wa…
YANGA Jana ikiwa ugenini mbele ya Polisi Tanzania ilikubali sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Ushirika Moshi.…