UTABIRI WA SOKA LA BONGO UMETIMIA…AWESU AVAA JEZI YA SIMBA
Klabu ya Simba imetambulisha kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Awesu amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya kununua…
Klabu ya Simba imetambulisha kiungo mshambuliaji Awesu Awesu kutoka KMC kwa mkataba wa miaka miwili. Awesu amejiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya kununua…
Kocha mpya wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi ameuomba uongozi wake kuhakikisha unamsajili mshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele kwa ajili ya kuimarisha safu yao ya…
MSHAMBULIAJI Kennedy Musonda bado yupo Yanga baada ya kujumuishwa kwenye kikosi cha msimu ujao, huku mshambuliaji mpya Prince Dube akitajwa kuhusika. Awali, Yanga ni kama…
Yanga imepokea hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kwa…
UONGOZI wa klabu ya Simba unaendelea kuimarisha kikosi chao hii ni baada ya kukamilisha usajili wa kinda kutoka timu ya vijana chini ya miaka 20…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema licha ya usajili wa mastaa waliosajiliwa katika timu hiyo, hana hofu ya kupanga kikosi. Gamondi amesema kikosi kitakuwa kinapangwa…
KATIBU wa Coastal Union, Omary Ayoub amesema shauri la beki wao Lameck Lawi bado lipo chini ya Kamati ya Hadhi na haki za wachezaji inayosimamiwa…
KIKOSI cha Simba kipo Misri kikijiandaa na msimu mpya wa 2024/25 bila kuwa na kipa namba moja kwa misimu takriban sita kabla ya ule uliopita,…
BAADA ya beki wa kati Mganda Gift Fred kudaiwa kwamba amekosa namba kwenye kikosi cha Yanga, hivi sasa inaelezwa timu hiyo itamtoa kwa mkopo kwenda…
Uhamisho wa wachezaji wa kimataifa wa Yanga, Cleatus Chama, Prince Dube na Duke Abuya utainufaisha serikali mamilioni ya fedha. Msajili wa Vyama vya Michezo wa…