SIMBA YAIPIGIA HESABU JKT TANZANIA KESHO, TAIFA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa timu itaendelea kupambana kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara ili kufikia malengo waliyojiwekea ya kutetea ubingwa msimu huu.Simba…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa timu itaendelea kupambana kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara ili kufikia malengo waliyojiwekea ya kutetea ubingwa msimu huu.Simba…
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa Ligi Kuu Bara ina ushindani mkubwa jambo linalofanya kila mechi kwakwe kuwa ni zaidi ya fainali.Namungo ikiwa…
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa Tanzania inahitaji ligi yenye ushindani ili kupata wachezaji bora watakaounda timu ya taifa imara.Akizungumza na Saleh Jembe,…
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa timu yake inapitia kipindi kigumu kwa sasa kutokana na kushindwa kupenya mbele ya KMC kwenye mchezo…
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa kiasi fulani ameanza kumuelewa mchezaji wake Ibrahim Ajibu.Ajibu alijiunga na Simba akitokea Yanga ambapo akiwa huko…
PAUL Nonga, nahodha na mshambuliaji wa Lipuli FC amesema kuwa walizidiwa mbinu kipindi cha kwanza na Yanga jana, Februari 5 kwenye mchezo wa Ligi Kuu…
AZAM FC iliyo chini ya Arstica Cioaba raia wa Romania, imeshindwa kufurukuta mbele ya timu za Mbeya kwa kugawana pointi mojamoja kwenye mechi mbili za…
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la SPOTIXtra Alhamisi
JACK Grealish, mchezaji nyota wa timu ya Aston Villa amewekwa kwenye rada za Manchester United pamoja na Leicester City ambao wanahitaji kuipata saini yake. Nyota…
Kikosi cha Yanga kitakachocheza mechi ya leo dhidi ya Lipuli FC.