JEMBE AWASHUKURU WASOMAJI WAKE WAKATI AKIONGEZA MWAKA MWINGINE
FEBRUARI, Mosi,2020 ni siku ambayo Mungu alimpa zawadi ya maisha mapya ndani ya Dunia na ardhi ya Tanzania ndipo alipoanzia kuhesabu Baraka zake.Leo ni siku…
FEBRUARI, Mosi,2020 ni siku ambayo Mungu alimpa zawadi ya maisha mapya ndani ya Dunia na ardhi ya Tanzania ndipo alipoanzia kuhesabu Baraka zake.Leo ni siku…
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ya Ligi Kuu Bara 1-Metacha Mnata 2-Juma Abdul 3-Jaffar Mohamed 4-Lamine Moro 5-Said Juma Makapu 6-Papy…
LEO Uwanja wa Taifa kutakuwa na kazi moja tu Yanga ya Luc Eymael itamemyana na Mtibwa Sugar ya mzawa Zuber Katwila ambaye ni bingwa wa…
KOCHA wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa kila anapokuwa na mechi karibu huwa halali akikesha kutafuta mbinu za kuwamaliza wapinzani wake jambo ambalo linamsaidia kupata…
MOHAMED Salah, raia wa Misri mshambuliaji anayekipiga ndani ya Klabu ya Liverpool ameendeleza urafiki wake na nyavu kwa kuwatungua Southampton mabao mawili kwenye mchezo wa…
JAFFARY Maganga,Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa leo watapambana mbele ya Mbeya City kuzisaka pointi tatu muhimu. Azam FC iliyo chini ya Kocha Mkuu,…
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Mtibwa Sugar umewapa Sh milioni 70 wachezaji wake ili kuhakikisha wanashinda mechi zake za ligi ukiwemo wa leo dhidi ya Yanga.…
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa timu ya Coastal Union amesema kuwa kilichomponza kupoteza mchezo wake mbele ya Simba ni kukosa umakini kwa wachezaji wake na…
LEO Uwanja wa Taifa kutakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga iliyo chini ya Luc Eymael raia wa Ubelgiji na Mtibwa Sugar…
MBWANA Samatta, mshambuliaji wa Aston Villa ambaye alisajiliwa kwenye dirisha dogo la mwezi Januari akitokea Genk ya Ubelgiji ameweka rekodi kibao kwa muda mfupi aliotua…