MBICHWA WA SAMATTA WAFANYA YAKE KWA MARA YA KWANZA NDANI YA EPL, LICHA YA TIMU YAKE KUPOTEZA
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutoka ardhi ya Bongo kufunga bao ndani ya Ligi…
MBWANA Samatta, nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutoka ardhi ya Bongo kufunga bao ndani ya Ligi…
YANGA leo imemshusha Bongo, Carraca Antonio Domingoz Pinto ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu (General Manager) wa Klabu ya Benfica ya Ureno kwa muongo mmoja (miaka 10)…
MCHEZO kati ya Simba na Coastal Union kwa sasa Uwanja wa Taifa ni mapumziko.Simba inaongoza kwa bao 1-0 kwa muda wa apumziko lilifungwa na Mbrazili,…
Kikosi cha Simba kitakachocheza leo dhidi ya Coastal Union
Hizi hapa zimeshinda mechi chache ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2019/20:-1.Ndanda FC imecheza mechi 16 imeshinda mechi moja pekee nafasi ya 20…
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe, leo au kesho anatarajiwa kutua nchini kwa ajili ya kwenda kumuona straika mpya wa timu hiyo, Bernard…
MANCHESTER United imekamilisha dili la kumpata kwa mkopo Odion Ighalo kwa dau la pauni milioni tatu.Dili la nyota huyo halijazungumzia ishu ya kumnunua jumla endapo…
MEDDIE Kagere, mshambuliaji tegemeo wa Simba amesema kuwa kinachombeba kufanya vizuri ni maombi kwa Mungu pamoja na juhudi ndani ya Uwanja. Kagere amehusika kwenye jumla…
FEBRUARI, Mosi, leo Jumamosi, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kurindima kwenye viwanja mbalimbali kwa mechi kali hizi hapa za VPL:-Namungo v Mbao, Majaliwa.Ndanda v Alliance,…